Katika kipindi cha sasa, Nilesh anapoteza nafasi yake ya zamani hivyo anatumia fedha kuwalipa upinzani na wanaharakati ili waeneze propaganda kali dhidi ya serikali. Hii ni jaribio la kurudisha nyuma maendeleo yanayonufaisha taifa lote. #UkweliKuhusuMafuta
Nilesh Suchak
If @Meta suspended my account because of this then I am moving to sue Meta! If what I wrote was false - how can I be suspended for that? The government just clarifies.
@grok did @Meta say this is the reason they suspended my account because the only information they said was
😁😁😁 napenda tunavyompelekesha Mwuaji in chief 🔥
Imebidi ajitokeze na safari ya Ufaransa na Serbia zimefutwa dakika ya mwisho na sasa anawakilishwa - huko nje anaogopa kutoa pua! Tunamzoom kila kona!
Sasa kesho tunajua ametoa yeye amri kwa lolote bata na atawajibika
Macho ya dunia iko Tanzania kesho!
Tusiogope huu ni ushindi tayari kilichobaki ni kutokka na ku CLAIM VICTORY 💪🏽
DM ya @instagram mnaweza kunikuta sukumeni taarifa na video - mi nitahabarisha dunia hata ka wamezuia akaunti ya Instagram na Facebook Tanzania
Akaunti zangu zina
Haya naona ushafika Ulaya atii! ?Umekimbia 7/7 ? Maana kisingizio eti sijui kukuza Kiswahili Paris 🤣
Sasa mliobaki ole wenu mfanye ya kufanya na mnajua ICC washabisha hodi!
Wasemaji mjichunge watasema hamkupewa go ahead
Wanajeshi na polisi watasema hakuwepo wa kutoa amri
Nilesh Suchak na kampuni yake State Oil walikuwa na ukiritimba mkubwa kwa miaka mingi kama waagizaji na wauzaji pekee wa mafuta nchini. Walitumia fursa hii vibaya kwa kuiba mali ya taifa, kukwepa kodi na kuuza mafuta ya Tanzania kwa nchi jirani kupitia njia zisizo halali na za
Maria Sarungi hachoki kuwalisha followers wake matango pori. Walau miaka ya nyuma alikua anajaribu kusikia uongo ambao hautagundulika kirahisi.
Siku hizi kawa "I don't care". Yeye anashusha taarifa yoyote tu ilimradi inaendana na propaganda zake. Aibu mtaona nyie wenyewe😂.
Hunaga akili na huna taarifa! Huyu nani? Tafuta kazi ya kufanya wewe! Huna unachojua kwenye nchi hii sijui kwa nini huelewi..
Si ulisema Rais yuko France ! Hapa ni wapi sasa? Au Paris kuna Agha Khan😁
Tukiwaambia mnafanya harakati za upumbavu mnakasirika!..
Haya naona ushafika Ulaya atii! ?Umekimbia 7/7 ? Maana kisingizio eti sijui kukuza Kiswahili Paris 🤣
Sasa mliobaki ole wenu mfanye ya kufanya na mnajua ICC washabisha hodi!
Wasemaji mjichunge watasema hamkupewa go ahead
Wanajeshi na polisi watasema hakuwepo wa kutoa amri
Kwa hiyo mmeona suprise factor ya Paris tumeilipua, mkaona aibukie Serbia?
Au maradhi yanamsumbua?
Eniwei naona wao wanakwea pipa tu ila watumishi wa umma wenye safari muhimu wanapigwa stop!
Hadi Madilu kakimbia 7/7 aisee 😁 pamoja na ubabe wote! Sasa kabaki nani? Nchimbi? Kazi
SHIDA YOTE HII NI JAMBAZI NILESH SUCHAK
SIKU zote majitu yanayokwepa kodi na majizi na macartel kama Nilesh Suchak ndiyo yamekuwa chanzo cha vurugu kwenye mambo ya mafuta kwenye nchi hii..
NILESH SUCHAK hajaanza leo mambo haya na hataacha leo kwa kuwa kampuni yake imekuwa