Big stepperš£@highchiefKEDec 27, 2024wazazi washatupea baraka, Tuesday risasi zitakuwa zinatuona zinapiga corner55551.7K1.7K7K7K76K76K
Big stepperš£@highchiefKEDec 27, 2024mwenye alipika mchele last time parliament aongeze chumvi kiasi this time84841.3K1.3K7K7K94K94K
Big stepperš£@highchiefKEDec 30, 2024umechill ukiwatch news na wazazi alafu unajiona kwa tv ukirudishia polisi teargas49491.1K1.1K6.3K6.3K94K94K
Big stepperš£@highchiefKENov 15, 2024Design taxin imefura imebidi nipigie caretaker anifungulie gate yote ndio niingie1061061K1K4.8K4.8K110K110K
Big stepperš£@highchiefKESep 8, 2024''Naona kuna wageni miongoni mwetu'' still one of the reasons I don't go chruch88887697693.6K3.6K75K75K
Big stepperš£@highchiefKESep 14, 2024mwenye ameheartbreak neighbour yangu akuje msikize hizi bongo zenu pamoja53536286283.5K3.5K66K66K
Big stepperš£@highchiefKEMar 20, 2025Dhambi zinashangaa nilienda wapi kumbe nilimjua Mungu30305625622.9K2.9K43K43K
Big stepperš£@highchiefKESep 19, 2024unashanga mbna dem ako ithaa yako ivo kumbe anaitwa wamaitha81815615612.6K2.6K57K57K
Big stepperš£@highchiefKESep 13, 2024siku moja wewe na huyo rafiki yako mjinga mtakuja kupigwa ju ya kucheka watu ovyo ovyoš83835365362.6K2.6K135K135K
Big stepperš£@highchiefKENov 6, 2024mama yako anajua wewe ndio ume aminiwa na sticki ya mwisho ya kiberiti time kuna upepo?šš70705415412.5K2.5K51K51K
Big stepperš£@highchiefKEFeb 4, 2025shoe rack ni ya viatu za kuanzia 4k,hizo gwanda zako ziweke chini kitanda45453443442.1K2.1K39K39K
Big stepperš£@highchiefKEJan 4, 2025usiskize mtu ati ju ni mzee,pia wajinga huzeeka22225435432K2K32K32K
Big stepperš£@highchiefKEDec 28, 2024hauna manzi na haunanga kutu,tuambie siri bro1491492902901.8K1.8K55K55K
Big stepperš£@highchiefKEFeb 5, 2025kuna salamu ukinisalimia as a man siwezi salimika,wtf is ''sasa''67672442441.3K1.3K32K32K