Kupitia tuzo hii nimeona ni kias gani watanzania tuna umoja, upendo na kuthamini vya kwetu...Nawashkuru sana kila mmoja wenu kwa Upendo mkubwa mlionionesha...Nifaraja kuona Dunia inapotaja nchi zenye Wanamuziki bora Tanzania inatajwa, ni jambo la Kumshukuru Mungu