This account is dedicated to counting the days to one term for president Ruto to go home ,the counting has started officially on 6 July 2026 God bless kenya
Aaaaah you have reminded me crush wangu mwingine back in campus aliniambia she likes to spice things up akanifunga makamba Kwa kitanda bwana akatoa Ile kiboko ya Masai bwana alinitandika za matako bwana kidogo amechukua mwiko anataka kuniingisha kundu nilipiga nduru nikafait bwan
Bwana mmi nilipenda mtoto wa MTU zaidi hapo 2016 alafu mama yake akashinda green card akaenda American bwana 😭😭kila mwaka nikisika mambo ya green card nilikua nalia Hadi makamasi inajaa ndoo
I remember back primary bwana nikiwa prefect after long school term masaa ya kufunga shule ikafika bwana kumbe after kuandika the school gangster Nahashon noise maker jamaa alitengeneza kikosi after receiving our report card bwana watu kumi walinitoa mbio bwana Hadi nyumbani