"Kuna mkuu wa wilaya moja ya Morogoro, alipoulizwa kwanini wilayani kwako kuna watu wengi wanakufa kutokana na mapigano ya wakulima na wafugaji, akajibu ng'ombe wengi wanaoingia ni wa wakubwa nami siwezi kuwagusa, sasa nasema hakuna mkubwa mbele ya sheria" Rais @SuluhuSamial