Log inSign up
(---) Onesmo Mushi
65.6K posts
user avatar
(---) Onesmo Mushi
@EduTalkTz
Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely โ€” Lord Acton
United States
Joined April 2021
1,362
Following
43.1K
Followers

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

TermsยทPrivacyยทCookiesยทAccessibilityยทAds Infoยทยฉ 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
  • Pinned
    user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    May 4, 2022
    TALKING SCHOLARSHIPS Scholarships zilinileta USA 2016, zikanipeleka CHINA 2018/2019, zikanirudisha tena USA 2019 na bado zipo na mimi mpaka nikamilishe safari. Nadhani nina moral responsibility ya kuwagawia wadogo zangu maarifa ya kuzitafuta. Nisaidie kushare hii THREAD๐Ÿ™๐Ÿฟ
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Oct 30, 2025
    Ukombozi haupo mbali, we are almost there!! Sending strength๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช!!
    59K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Feb 22, 2023
    #MotiovationPill Nimeenda dukani leo nikamnunulia mke wangu iPhone 14 Pro Max. Nilipomkabidhi, akanikumbatia kisha nikamsikia analia. Nilipouliza kulikoni, akanikumbusha siku alipojifungua tulishindwa kununua pedi. Nikamwambia โ€œit was meant to be temporary babe.โ€ Amini tu!๐Ÿ’ช
    243K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Mar 5, 2024
    Kwa wenzetu hii art ya huyu mtoto ingeweza kuwa utajiri wake.
    130K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Apr 22, 2025
    Mshahara wa polisi ni kiasi gani kwa mwezi?๐Ÿค”
    270K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Mar 2, 2024
    Mzee Mwinyi alioa mapacha?๐Ÿค”
    158K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Jun 18, 2025
    Mna hakika Rais anaelewa majukumu ya Mbunge?๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
    114K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Aug 19, 2023
    Sharing is caring: Nilipoenda na mke wangu clinic kwa sababu ya mtoto wetu mchanga, tulifundishwa haya; waBABA tuna jukumu la kuwasaidia wake zetu kuyafanikishaโฌ‡๏ธ 1. Jitahidi mara nyingi mtoto mchanga apate joto la wazazi. Mvue nguo mara kadhaa kisha hakikisha unamkumbatia na
    201K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Aug 7, 2023
    Nimeenda grocery shopping sehemu moja hapa NewYork leo nikanunua nyanya chungu nusu kilo na bamia robo tatu kwa dola 11$ (Kama elfu 26 hivi ya Tanzania). Nimejikuta najiuliza, hivi Tanzania tukijikita kwenye kilimo cha mboga mboga kwa malengo ya biashara za kimataifa, hatutoboi?
    213K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Dec 19, 2024
    Baada ya Lissu kuanza kutaja majina yaliyopo kwenye payroll ya Abdul na mama yake, sasa hoja imeanza kuwa โ€œtutunziane madhaifu yetu.โ€๐Ÿ˜Ž
    90K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Jun 10, 2024
    Tufanye 2025 wamesimama hawa wawili na hakuna kura ya siri, unaenda na nani na kwa nini?โฌ‡๏ธ
    170K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Oct 11, 2024
    Unaamini Rais Magufuli alikufa kwa ugonjwa au aliuawa na wajanja?๐Ÿค”
    195K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    Mar 27, 2025
    Hata saa mbovu kuna wakati inaweza kuonesha majira sahihi.
    00:00
    108K
  • user avatar
    (---) Onesmo Mushi
    @EduTalkTz
    May 12, 2025
    ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ Ifanyiwe lamination hii!
    48K