"Kule Bara wameshanambia kua Magufuli atatangazwa kwa asilimia 84% na mikakati yao yote nimeshaambiwa na mimi nataka nikutane na Lissu nimpe mikakati hiyo na nimwambie kua, akiweza kuzuia mikakati hiyo wamekwisha hawa". @SeifSharifHamad akizungumza na Timu za Ushindi muda huu.
Tumepata taarifa Jeshi la Polisi wilayani Mbinga limepiga mabomu ya machozi na kumkamata Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. @TunduALissu jioni ya leo baada ya mkutano wa hadhara. Tunalaani vikali matumizi ya nguvu, uonevu na ukandamizaji wa shughuli halali za vyama vya upinzani. Tunatoa
From 16 shots to survival, from being a lawyer to being a President. Tundu Antiphas Lissu - the 16 bullets survivalist and the President of United Republic of Tanzania. @TunduALissu "A man of God's miracles".
October 19 ni siku ya kihistoria nchini mwetu. Hawa wote watakua pamoja kutoa muelekeo na muongozo sahihi kuelekea October 27 na 28, 2020.
#ChaguaTunduLissu#ChaguaMaalimSeif