Object moved to here.

Schedule - Radio - VOA Swahili Audio Tube, Jumatatu 31 Machi 2025 - VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika

Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Machi 31, 2025 Local time: 16:44

Radio

19:30 - 20:00

Jioni

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

21:00 - 21:30

Kwa Undani

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

XS
SM
MD
LG