karat
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- kipimo cha usafi wa dhahabu; dhahabu safi ina karati 24
- (kimarekani) tahajia mbadala ya *carat*, lakini hutumika mahsusi kwa dhahabu
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: karati, kipimo cha dhahabu
- Kifaransa: carat (or), pureté de l’or