Nenda kwa yaliyomo

implode

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Kitenzi

[hariri]
  1. kuporomoka kwa nguvu kuelekea ndani, mara nyingi kwa sababu ya shinikizo la nje
  2. kushindwa ghafla na kwa kiwango kikubwa, hasa shirika au mfumo

Tafsiri

[hariri]