Nenda kwa yaliyomo

horse

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Noun

[hariri]

(Wingi; horses)

  1. Ni neno la Kiingereza linalomaanisha mnyama anayefugwa, anayejulikana kwa kasi yake ya kukimbia na hutumika kwa usafiri.

Tafsiri

[hariri]