ch ni konsonanti mchanganyiko katika Kiswahili. Hutamkwa kama sauti ya "ch" katika maneno kama chai, cheka na chumba.