Nenda kwa yaliyomo

Shapur II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Taq-e Bostan: Shapur II na Shapur III.

Shapur II (309 - 379) alikuwa mfalme wa Milki ya Wasasani aliyedumu madarakani muda mrefu zaidi, miaka 70 yote ya maisha yake[1] .

Katika historia ya Kanisa anakumbukwa kwa jinsi alidhulumu kikatili Wakristo baada ya kuona Dola la Roma liliwakubali[2]. Aliwaua walau 16,000.

  1. ↑ Mehrdad Kia (2016). The Persian Empire: A Historical Encyclopedia. Bloomsbury. uk. 696. ISBN 9798216127727.
  2. ↑ Barnes, T. D. (Novemba 1985). "Constantine and the Christians of Persia". The Journal of Roman Studies (kwa Kiingereza). 75: 126–136. doi:10.2307/300656. ISSN 1753-528X.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shapur II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.