Epipodi
Mandhari

Epipodi (alifariki Lyon, mji mkuu wa Gallia, leo nchini Ufaransa, 22 Aprili 178) alikuwa kijana Mkristo aliyekatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Marcus Aurelius dhidi ya Ukristo iliyosababisha mauaji makubwa katika mji huo[1].
Siku mbili baadaye rafiki yake mkuu, Aleksanda wa Lyon, aliyekamatwa pamoja naye, alisulubiwa kwa ajili ya imani.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[2][3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-16. Iliwekwa mnamo 2021-04-16.
- ↑ Ruinart. Acta Martyrum, 1859 ed., p. 119
- ↑ Phillips, Fr Andrew. "Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome". orthodoxengland.org.uk. Iliwekwa mnamo 2017-03-01.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza)Patron Saints: Epipodius
- (Kiingereza)Two Inseparable Friends Ilihifadhiwa 30 Juni 2004 kwenye Wayback Machine.
- (Kifaransa) Epipode
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |