Claudio Monteverdi
Mandhari
| Claudio Monteverdi | |
|---|---|
| Amezaliwa | Cremona 15, Mei 1567 |
| Amekufa | 29, Novemba 1743 (Miaka 76) Venice |
| Kazi yake | Mtunzi wa muziki; Kiongozi wa kwaya; Mpiga ala za nyuzi |
| Saini | |
Claudio Giovanni Antonio Monteverdi (alibatizwa 15 Mei 1567 – 29 Novemba 1643) alikuwa mtunzi wa muziki, kiongozi wa kwaya (choirmaster), na mpiga ala za nyuzi (string player) wa Italia. Akiwa mtunzi wa muziki wa kidunia na wa kidini, na mwanzilishi katika ukuzaji wa muziki wa opera, anachukuliwa kuwa mtu muhimu sana wa mpito kati ya vipindi vya Renaissance na Baroque katika historia ya muziki.[1][2]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Monteverdi alibatizwa katika kanisa la SS Nazaro e Celso, Cremona, mnamo tarehe 15 Mei 1567. Rejesta (kitabu cha kumbukumbu) inaonyesha jina lake kama 'Claudio Zuan Antonio' mtoto wa 'Messer Baldasar Mondeverdo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.britannica.com/biography/Claudio-Monteverdi
- ↑ https://www.kennedy-center.org/education/resources-for-educators/classroom-resources/media-and-interactives/artists/monteverdi-claudio/
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Claudio Monteverdi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |