Nenda kwa yaliyomo

Berlin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Berlin

Bendera

Nembo
Berlin is located in Ujerumani
Berlin
Berlin

Mahali pa mji wa Berlin katika Ujerumani

Majiranukta: 52°30′2″N 13°23′56″E / 52.50056°N 13.39889°E / 52.50056; 13.39889
Nchi Ujerumani
Jimbo Berlin
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 3,878,100 (2,023)[1]
Tovuti:  www.berlin.de
Mji wa Berlin

Berlin ni mji mkuu, pia mji mkubwa na jimbo la kujitawala la Ujerumani ikiwa na wakazi zaidi ya 3.8 milioni. Berlin iko mashariki mwa Ujerumani, palipo mto unaoitwa Spree.

Berlin ilianza kukua kama mji mkuu wa Prussia, ikawa mji mkuu wa Ujerumani tangu kuundwa kwa Dola la Ujerumani mwaka 1871. Kati ya miaka 1949 na 1991 ilikuwa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani.

Kati ya miaka 1961 na 1989 mji ulitengwa na ukuta kati ya sehemu za mashariki na magharibi. Baada ya kuungana tena kwa Wajerumani mnamo 1990, Berlin ikawa tena mji mkuu wa Ujerumani yote.

  • Vituo vya reli ya masafa marefu ni Kituo kikuu, Spandau, Kituo cha mashariki na Gesundbrunnen
  • Kituo kikuu cha mabasi ya masafa marefu Berlin kipo magharibi mwa Berlin
  • Uwanja wa ndege mpya unaoitwa Berlin-Brandenbueg, lakini uko jimbo la Brandenburg, nje ya Berlin

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


 
Majimbo ya Ujerumani
Baden-Württemberg Bavaria (Bayern) Berlin Brandenburg Bremen Hamburg Hesse (Hessen) Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) Saksonia Chini (Niedersachsen) Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) Saar (Saarland) Saksonia (Sachsen) Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) Schleswig-Holstein Thuringia (Thüringen)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Berlin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.