Nenda kwa yaliyomo

Beatrix Potter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Helen Beatrix Heelis (jina la kuzaliwa Potter; Julai 28, 1866 – Desemba 22, 1943), anayejulikana kama Beatrix Potter, alikuwa mwandishi, mchoraji picha, mwanasayansi wa asili, na mhifadhi nchini Uingereza. Alijulikana zaidi kwa vitabu vyake vya watoto vinavyohusisha wanyama, kama vile The Tale of Peter Rabbit (1902). Vitabu vyake viliuza zaidi ya nakala milioni 250.[1]

  1. ↑ "Free online Dictionary of English Pronunciation – How to Pronounce English words". howjsay.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Agosti 2021. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beatrix Potter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.