Makala haya yanalenga kubainisha jinsi fahiwa zinavyohusiana katika leksia za Kîîtharaka kwa kuzi... more Makala haya yanalenga kubainisha jinsi fahiwa zinavyohusiana katika leksia za Kîîtharaka kwa kuzingatia mtazamo wa leksika pragmatiki.Ubadili maana katika leksia mbalimbali husababisha kutokea uhusiano wa kifahiwa katika leksia moja, na kati ya leksia mbili au zaidi. Katika makala haya, ubadili maana unaozua uhusiano wa kifahiwa katika leksia za Kîîtharaka umeangaziwa. Data ya kimsingi kutoka wazungumzaji asilia wa Kîîtharaka, imechanganuliwa kwa kutumia nadharia ya Leksika-Pragmantiki. Matokeo yanabainisha kwamba ubadili maana ukitokea katika leksia za Kîîtharaka, mahusiano ya kifahiwa yafuatayo hutokea: uhusiano wa kipolisemia, kihomnimia, kisinonimia, kihaiponimia, kimeronimu na kiantonimu. Makala haya yanahitimisha kwamba, maana ya leksia huwa na uhusiano na maana nyingine ya leksia iyo hiyo au leksia nyingine tofauti. Pia, kuna mwingiliano baina ya maana kimatumizi na maana kimuktadha ya leksia.
Makala haya yanalenga kubainisha jinsi ubadili katika vitamkwa na mofu unavyoathiri maana ya leks... more Makala haya yanalenga kubainisha jinsi ubadili katika vitamkwa na mofu unavyoathiri maana ya leksia katika Kîîtharaka. Maana katika leksia hutegemea kipengele cha kiisimu na vile vile kile cha kijamii ili ieleweke vilivyo. Katika hali hii, mabadiliko ya kifonolojia, kimofolojia, pamoja na kileksia yanayoathiri maana yameangaziwa. Data ya kimsingi kutoka wazungumzaji asilia wa Kîîtharaka, imechanganuliwa kwa kutumia nadharia ya Leksika-Pragmantiki. Makala haya yanabainisha ubadili wa kifonolojia pamoja na kimofolojia ambao huchangia katika kuibuka kwa maana fulani katika leksia za Kîîtharaka. Makala haya yanabainisha kwamba maana katika leksia za Kîîtharaka hutegemea kwa njia moja au nyingine mabadiliko yanayohusisha usilimisho, kuimarika na kudhoofika kwa fonimu, uchopekaji, uyeyushaji, hapololojia, kanuni ya Dahl na Ganda. Aidha, ubadili unaoathiri maumbo ya mofu huchangia pakubwa kutokea kwa maana katika leksia. Mofu za ngeli, ukanusho na uambishaji ni miongoni mwa zile ambazo zim...
... Mohamed). Author: M'ngaruthi, Timothy Kinoti. Abstract ... washairi. Diwani ... more ... Mohamed). Author: M'ngaruthi, Timothy Kinoti. Abstract ... washairi. Diwani zilizochaguliwa ni mbili; moja ya Hassan Mwalimu Mbega Dafina ya Umalenga (1984) na nyingine ya Said Ahmed Mohamed Jicho la Ndani (2002). Nadharia ...
This study was, in a broader sense, intended to identify the many political, social and changes t... more This study was, in a broader sense, intended to identify the many political, social and changes that the continent of Africa has undergone since independence. Among the significant changes witnessed are those of its political leaders. This study analyzed the various traits and actions of Africa's contemporary political leaders as por was to evaluate the changes that the contemporary attainment of multiparty colonial Theory and Homi K. Bhabha. purposive sampling method. Qualitative analysis of the selected poems was done guided research objective. remarkable steps in enhancing democracy, for championing multiparty democracy, sworn to protect.
Iliyotolewa kwa madhumuni ya kutosheleza baadhi ya Mahitaji ya shahada ya uzamili katika chuo kik... more Iliyotolewa kwa madhumuni ya kutosheleza baadhi ya Mahitaji ya shahada ya uzamili katika chuo kikuu cha Kenyatta
This research investigated the portrayal of the African politician in Kiswahili poetry. Basically... more This research investigated the portrayal of the African politician in Kiswahili poetry. Basically, this research intended to shed light on how different poets have portrayed African politicians creatively with a purpose of revealing how these leaders have changed since colonial times to the multi-party period. The research assumed that political leaders played a great role in the development of their individual countries and Africa as a whole. The attainment of various developmental goals such as Kenya’s Vision 2030 and strengthening of the East African Community is to a large extent pegged on political decisions. The objectives of this research were to investigate the role of Kiswahili poetry in preserving the history of the African politician and to examine the traits of the pre-colonial and post-colonial African politician according to Kiswahili poets. The researcher assumed that the poet speaks for the citizen who gets adversely affected by decisions and actions taken by politic...

Uploads
Papers by Timothy Kinoti