Entrée 2.
Akafufuka kiisha siku tatu : Namsadiki
Akapanda mbinguni kwa babae : namsadiki
Furahini katika Bwana yesu yu karibu : tuungame mazambi zetu Anakaa kuume wa Babae : Namsadiki
tumpokee mkombozi Atarudi kuamua wazima na wafu : Namsadiki
C1. Bwana atakuja kuokoa mataifa, katika utumwa wa shetani
C2. Tuwe sawa kama wale wa Yeruzami, Yerusalemi muji safi 3. Namsadiki pia Roho mtakatifu : Namsadiki
Namsadiki Eklezia moja katolika : Namsadiki
Kyrie Maomboleo ya zambi na ufufuo : namsadiki
Na uzima wa milele Amen : namsadiki
Mokonzi Nzambe yoka biso mawa eee limbisan biso mawa eee
- E Kristu Nzambeee …. Intention
- Mokonzi Nzambe
Masia eee uje uje (uje kwetu masiia)
Méditation
1ère offertoire
Roho yangu inafurahi na Mungu wangu inafurahiwa
1. Moyo wangu inamtukuza Bwana na Roho yangu inafurahiwa Kora (x3) kodhi budha mana
na Mungu Mwokozi wangu Ee wakristu krûddi : Kora (x3) kodhi bbûdha mana
2. Maana ameniangalia udogo wa mtumishi wangu : ndiyo 1. Mkati ma
tangu leo vizazi vyote vitanitaja mwenye heri. 2. Divai ma
3. Kodhi ndji ma
Acclamation 4. Kodhi vodha
5. Kodhi khwe ma
Basse : Ni la kweli neno lile la Bwana 1-5 : Koburi nidho boke
Credo 2ème Offertoire
Namsadiki Mungu Baba Mwenyezi muumba wa mbingu na dunia Ee Baba twaleta zawadi yetu, ee Baba twomba uvipokee,
namsadiki (x2) Japo ni kidogo sana ee Baba
1. Namsadiki Yesu Kristu ye : namsadiki Basse : Twakusihi sana
Aliye zaliwa na Bikira Maria : namsadiki Tous : Baba uvipokee
Akateswa zamani za Ponsio Pilato : Namsadiki 1. Mkate na divai ee Baba uvipokee
Akasulubiwa akafa akazikwa : Namsadiki Tunaleta feza zetu, ee Baba uipokee
Na mazao ya mashamba Ee Baba uzipokee
3ème 2. Twendeni kumpokea mwili wa Kristu
3. TB N°311
R/ Nasimbi libonza oloboko, wana nazali kokende kobonzela
baninga wayo, telema kokendee Action de grâce
Santus TB N° 309
Basse : Takatifu uuu ACTIONS DE GRACE : KWA NEEMA
R1/ Takatifu uuuuu eeeee takatifu
1. Mbinguni na dunia mbinguni na dunia zimejaa utukufu eeee Alto : Kwa neema (x3) Mungu wa milele x2
takatifu (x2) R/ Kwa neema (x5) Mungu wa milele
2. Barikiwa anae kuja, barikiwa anaekuja kwa jina la Bwana 1. Ninaishi Bwana kwa neema yako, maisha yangu ni bure bila
eeee Hozana (x2) wewe, kwa mkono wako yote yawezekana unisaidie mimi
R2/ Hozana aa hozana aaaaaa eeeee Hozana (x2) mtenda zambi x2
2. Angalia Bwana wangapi leo wanashinda kutaja jina lako
Pater : Kodhi baba nikû ra naa lakini mimi ninasimama mbele yako kwa neema nikusifu x2
Kwa matatizo yamagonjwa ya mauti na vita mbalimbali
R/ Kodhi baba nikû ra naa nirodho makeni (x2) lakini mimi ninasimama mbele yako kwa neema nikusifu.
1. Kodhi Baba nikû ra na, nirodho makeni ngudjo
2. Nidza bonga ngudjo nijinari njikeni krûûû II. ACHE NIMWIMBIE BWANA KWANI AMENITENDEA
3. Ingodjo rana ribbai abbû kodho nju kodhinyo MAMBO
4. Atukorochenga krûddi kora kozô nji ribbai
5. Nzibba kobuni shashana ndochû atu ko chenga na ro. Sortie
Agnus Dei TB N°309
AMANI SOTE TUPEANE
R/Ee Mapata ya Nzambeee / Ee mapata ya Nzambe
1. Okolongola masumu na bato mapatae
2. Yokela biso mwa mapata
3. Pesa, pesa biso boboto mapata
Communion
1. TB N° 260